Ni sawa lakini kwenye areas kama hizo you need an exttrra ordinary competence mpaka mtu/shirika lije kukupa kazi ya planning ya hizo projects, siyo kazi rahisi. Nakumbuka yule mama Lizy ambaye aliletwa kama mshauri wa sheria ya ardhi ya 1999 wakati wa drafting ya bill, ni mama of the highest caliber ever. You need to attain such competence! Can you get such training in our colleges one can go to that level!