kama hii post umewakudia wao tu, ni bora unge wa pm, maana watu wanaipitia lakini wanaona inahusu watu maalum. Hukuwa na haja kuweka hapa jamvini unge wa pm tu.Mkuu Calvin na dr.phone msaada wenu wahitajika,niliichakachua modem ya ZTE model K-3565-Z kwa kutumia DC-Unlocker kwenye report ikaonyesha sim status ipo unlocked,Sikuweza kutumia sim card ya airtel kwani nilishindwa kupata join air kwani iligoma nilipokuwa na download.Niliendelea kutumia sim card ya voda ikafika kipindi ikawa ikawa inashindwa kuconnect na kutoa taarifa kuwa ni error No.619 ,watu wa voda nilipo wapigia wakaniambia inatakiwa ku uninstall nikafanya hivyo hapo ndipo nilipo jipiga mtama.kwani kilanikijaribu ku install computer inashindwa kusoma sioni kitu kingine zaidi ya kusikia sauti ya kuconnect modem kwenye computer.Ni fanye nini hapo au ndio imekula kwangu.msaada wajameniiiii.
Mkuu Mgeni Umezungumza Point itabidi Mkuu Anania awa andikie hao watu 2 yaani ( Mkuu Calvin na dr.phone) Kwa P.M ili wamsaidie.Angelisema hivi Wakuu wa J.F. nawaombeni msaada sio kuwataja watu kwa majina Mkuu Anania wangojee hao hao uliwataja kwa majina watamsaidia .kama hii post umewakudia wao tu, ni bora unge wa pm, maana watu wanaipitia lakini wanaona inahusu watu maalum. Hukuwa na haja kuweka hapa jamvini unge wa pm tu.
Mkuu Mgeni Umezungumza Point itabidi Mkuu Anania awa andikie hao watu 2 yaani ( Mkuu Calvin na dr.phone) Kwa P.M ili wamsaidie.Angelisema hivi Wakuu wa J.F. nawaombeni msaada sio kuwataja watu kwa majina Mkuu Anania wangojee hao hao uliwataja kwa majina watamsaidia .
Mkuu Mgeni Umezungumza Point itabidi Mkuu Anania awa andikie hao watu 2 yaani ( Mkuu Calvin na dr.phone) Kwa P.M ili wamsaidie.Angelisema hivi Wakuu wa J.F. nawaombeni msaada sio kuwataja watu kwa majina Mkuu Anania wangojee hao hao uliwataja kwa majina watamsaidia .
<br />mkuu mbona unasema ki.wivu wivu? Kana kwamba hujatendewa haki.topic ya bwana mdogo inajieleza inamhusu dr.na cpw.so wewe na mimi ni watazamaji tu.sio kila mcheza mpira lazima aingie uwanjani.anaweza kubaki benchi na kuwa mshangiliaji tu.
<br />
<br />
Mi naona sio suala la wivu, msaada anao uhitaji nahisi wapo wengi wanao uwezo wa kumsaidia, tatizo ni kwamba anahitaji watu maalum wamsaidie, je unauhakika hao alio wataja wanauelewa wa jambo hilo? kwani hakuna anae juwa yote duniani, je ana uhakika hao watu wapo?, hii post leo ni siku ya pili bila wao kutokea kumsaidia.