Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,941
asante mkuuBila shaka ni IC zimeungua zote au pengine inatumia IC moja yenye channel nyingi basi IC hiyo imeungua. Usiendelee kuiwasha isijekuharibu components zingine.
Asante kiongoziMkuu hiyo inawezekan kuwa { ice } kiunda sauti cha sabufa kitakuwa kimeleta shida maan ake alipofungulia sauti sabuf ilihitaji kias kikubwa cha umeme kufika katika vihifazi umeme vya mwanzo yaan { capacitor} ambapo vikipokea huwa vinatawanya kiasi cha umeme kadri ya uhitaji katika sakiti ya sabufa kooo shida inaweza kuwa ice ya sabufa imepata shida nikimaanisha imepokea umeme ambao sio kias chake hivyo kushindwa kumudu na kutokea hitilafu kama sio hiyo basi vipokea umeme vimelea shida yaan capacitor itakua imeungua mkuu hapo huna jinsi fika kwa fund afanye.marekebish
Fungua ndani piga picha mashine yakeHabari wa jamvi, nahitaji msaa wenu hata ushauri tu unatosha,
Nina sabufa aina ya Sunder ilikata sauti gafra baada ya dogo kufungulia volume kubwa, sasa ikawa haitoi sauti kuanzia kwenye besi na twita zake, ila kwa upande wa twita moja ukiweka sikioni unasikia kwa mbali kama umeplay music.
Hivyo nahitaji ushauri tatizo ni nini ili niende kwa fundi nikijuwa tatizo linarekebishika au ndo nimeshaipoteza
Kisha aipeleke kwa fundiBila shaka ni IC zimeungua zote au pengine inatumia IC moja yenye channel nyingi basi IC hiyo imeungua. Usiendelee kuiwasha isijekuharibu components zingine.
Mara nyingi ukipata za kiwanda cha Rising ni bora na ningumu hata kama kuna matatizo ya kukatika umeme kwa ghafla huwa inabaki imara pia ina nguvu katika sauti, πππ πππβππ π§πππ ππ πβπππππ π πππNaomba kujuzwa sifa za sabufa/redio original