Msaada wenu juu ya computer mouse

Kowalski

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
348
Reaction score
111
Kwanza heri ya mwaka mpya. hebu nisaidieni hili swali. Mouse ina wire ngap ndan ya connector yake na kila wire inafanya kaz gani ? Namaanisha ile wire unaokwenda kwenye PC
 
Inategemea na mouse, ila mouse ya kawaida inayotumia USB ina wire nne na kwa standard zinatakiwa kupewa rangi japo watengenezaji cku hizi wengine wanachanganya..

Sema kazi yake ni hii,

Moja inatransmit Voltage kwa kawaida hua ni 5Volts, mbili zinatransmit data, moja + nyingine -, afu moja iliyobaki ni Grounding..

Happy New Year!!
 

Thanx mkuu Happy new year too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…