Msaada wenu jamani,niko njia panda

ENWYO

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
65
Reaction score
8
MIMI NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 25,NIKO MWAKA WA PILI KTK CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO(MTWARA);NIKICHUKUA SHAHADA YA KWANZA YA ELIMU.

MIAKA 2,ILIYOPITA NILIKUWA NA MCHUMBA WANGU TULIAHIDIANA KUOANA PINDI NIMALIZAPO MASOMO.

MIAKA MIWILI YOTE TULIYO ISHI TULIPENDANA KWA DHATI SAWA SAWIA NA ALIKUWA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUNILIPIA ADA YA CHUO,MCHANGO WAKE NI KARIBIA 90% YA ADA.

CHA AJABU OCTOBER 9,2013,MCHUMBA WANGU ALIANZA KUONESHA ISHARA ZILIZO ASHIRIA KUWA ANANISARITI JAPO NILIPO MUULIZA ALIKANA KATU KATU.

MNAMO MWA TAREHE 4-11-2013,MCHUMBA WANGU NILIMFUMANIA NA RAIKI YANGU WAKIVUNJA AMRI YA 6 KWENYE KOCHI.

Sasa ananiomba msamaha na kuniitia watu wa kunibembeleza baada ya kumwambia kuachana japo nawaza jambo la ada kama nitaweza kujilipia baada ya kuachana naye.

NAOMBA VIEWZ ZENU WANDUGU.
 
mrudie, alipe ada, maliza shule, kula kona.simple
 
kwanini unachanganya herufi kubwa na ndogo..?!
 
Billioness said: Today 16:59 Re: Msaada wenu jamani;niko njia panda mrudie, alipe ada, maliza shule, kula kona.simple

AKSANTE SANA MKUBWA USHAURI WAKO NITAUFANYIA KAZI
 
Chaukucha 20:04 Today kwanini unachanganya herufi kubwa na ndogo..?



NIKUWEKA MSISITIZO MKUU.
 
pole kijana,kama una uwezo wa kumudu ada,piga chini,mwonja asali haonji mara moja kijana,usisahau miwaya ilvyo tapakaa mitaani.
 
jifunze kuandika vitu vinavyoeleweka basiiii,,.halafu ndio utakuja kuwa mwalimu wewe!?, i can bet maajabu ya ufaulu mbovu wa watoto hautakwisha
 
Wewe mbona unafanana na division 5?
 
ndugu yangu fikiria sana kuhusu mstakabali wa maisha yako ya baadaye,kipi bora kufa kwa HIV na degree yako ya ualimu au kubaki salaama na kutafuta vyanzo vingine vya kupata ada ya chuo, kama kweli umemkamata live na rafiki yako piga chini usingoje ushahidi kamili
 
Tumia dawa hii hapa na mchumba wako hata-cheat tena:-
 

Attachments

  • Ulinzi madhubuti.jpg
    1.6 KB · Views: 233
Endelea nae.usimuache. Acha akulipie ada yako mpaka umalize chuo. Aendelee kukusaidia mpaka upate kazi. Ukishaanza kazi na kupata mshahara wako achana naye. Piga chini. Fanya hivyo coz umeshasema anachangia 90%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…