Ndekirhepva JF-Expert Member Joined May 18, 2012 Posts 371 Reaction score 44 Feb 8, 2013 #1 Wataalam ninajileta kwa msaada,natumia sony vaio cr220e,tokea nimeweka window 8,kipengele cha skype na webcme kwa ujumla nime kwama,nipeni maujanja wadau,kama kuna namna ya kuiamsha,nijejarbu ku re instal driver bt hakuna changes
Wataalam ninajileta kwa msaada,natumia sony vaio cr220e,tokea nimeweka window 8,kipengele cha skype na webcme kwa ujumla nime kwama,nipeni maujanja wadau,kama kuna namna ya kuiamsha,nijejarbu ku re instal driver bt hakuna changes