Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,543
nafikiria kutengeneza kifaa kitakachoweza kuzima gari remotely kwa ajili ya ulinzi ila project yangu nahisi nitafanikiwa kwani mimi ni fundi mzuri wa umeme wa magari, vitu nitakavyotumia ni kama simu na ECM (control box ya gari) issue ni kwamba nahitaji kifaa cha cha kubadilisha 3volt dc to 12volt dc ili niweze ku switch 12v0lt reley.