Kkoo zipo mimi niliwah nunua yale maduka ya barabaran ukiwa unaelekea china plaza toka Agrey, bei ni 300k mpka 350k sikumbuki exactly figure.Wakuu umuofia kwenu,
Natambua jforum kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kujuzwa wapi nitapata maduka ya hizi mashine za pop corn kuanzia watt 1300, je kwa kkoo nitapata ? Ni mitaa gani au maeneo gani mengine naweza kuzipata, natapenda pia kupata sehemu ambazo ni legit na affordable. Unaweza pia kunijuza makisio ya bei kwa mahali ulipotaja.
Shukran
Kkoo zipo mimi niliwah nunua yale maduka ya barabaran ukiwa unaelekea china plaza toka Agrey, bei ni 300k mpka 350k sikumbuki exactly figure.
Mtafute jamaa anaitwa Boloyoung aliwahi kujieleza humu kwamba yeye ni mtaalam wa hiyo kitu anatengeneza mpaka zinazotumia gas.Wakuu umuofia kwenu,