Duoseptember Member Jun 22, 2016 71 84 Jun 20, 2017 #1 Wakuu naomba msaada ni chuo gani kwa Tanzania naweza kupata training ya Oracle Database ya uhakika na nikafanya pepa ya certification.
Wakuu naomba msaada ni chuo gani kwa Tanzania naweza kupata training ya Oracle Database ya uhakika na nikafanya pepa ya certification.
Duoseptember Member Jun 22, 2016 71 84 Jun 20, 2017 Thread starter #3 fungi said: Techno Brain Click to expand... Asante mkuu ngoja nifanye follow up ya gharama na schedule zao
fungi said: Techno Brain Click to expand... Asante mkuu ngoja nifanye follow up ya gharama na schedule zao
H HACHOKI TALEMWA Member Mar 4, 2013 93 9 Jun 23, 2017 #4 Njoo Bukoba MLVTC utapata training sahihi ya iyo DBMS au nicheki kwa 0752861997 au 0782851219 kwa msaada zaidi
Njoo Bukoba MLVTC utapata training sahihi ya iyo DBMS au nicheki kwa 0752861997 au 0782851219 kwa msaada zaidi