msaada wandugu

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
najaribu ku install avg 2012 free edition inanipa ujumbe huu TARGET DRIVE OUT OF DISK SPACE lakini hard disk yangu bado space ya 900mb.
 
900mb ni ndogo sana haitoshi, jaribu kufanya disk cleanup na hata hivyo punguza files zisizo na umuhimu upate angalau 2gb maana OS inaweza ku-corruct wakati wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…