Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,855 Oct 8, 2013 #1 Habari wakuu poleni na mihangaiko nilikua nauliza hapa dar ni maeneo gani wanauza fridge ndogo nzuri kuanzia 150000 - 200000
Habari wakuu poleni na mihangaiko nilikua nauliza hapa dar ni maeneo gani wanauza fridge ndogo nzuri kuanzia 150000 - 200000
majuto mperungu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 394 Reaction score 120 Oct 9, 2013 #2 Ninayo used 180000 kama vipi ni pm
N Nyrum Senior Member Joined Aug 11, 2013 Posts 124 Reaction score 41 Oct 9, 2013 #3 NiPM me ninalo la laki1 na 70
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Oct 10, 2013 #4 mitaa ya mwenge pale near Tarakea utakuta . Kinondoni mitaa ya Biafra kama unaingia mtaa wa kwenda kanisani mkono wa kulia. Kariakoo ndo usipime. KAZI NI KWAKO
mitaa ya mwenge pale near Tarakea utakuta . Kinondoni mitaa ya Biafra kama unaingia mtaa wa kwenda kanisani mkono wa kulia. Kariakoo ndo usipime. KAZI NI KWAKO
R Rasenka Member Joined Jul 1, 2013 Posts 44 Reaction score 3 Oct 10, 2013 #5 Bei nzuri ni ipi?Ya juu sana au ya chini sana?
Kitope JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 236 Reaction score 58 Oct 10, 2013 #6 Rasenka said: Bei nzuri ni ipi?Ya juu sana au ya chini sana? Click to expand... Dah!!! Mkuu kama hivi ndio unavyopima ubora wa kifaa kuwa macho usipigwe changa la macho!! Bongo haijaitwa bongo coincidentally 🙂
Rasenka said: Bei nzuri ni ipi?Ya juu sana au ya chini sana? Click to expand... Dah!!! Mkuu kama hivi ndio unavyopima ubora wa kifaa kuwa macho usipigwe changa la macho!! Bongo haijaitwa bongo coincidentally 🙂