Lakini kabla hatujafika mbali je umejaribu keuchomek USB toafuti tofauti zote haziwezi kuwa deteced au ni aina fulani ya USB drive ndio inagoma.?
kabla ya kudowlod na kuistall drive chunguza hilo na nenda kwenye computer management chagua device managers then device drivers ucheki kama Universal Seril Bus controller kuna chochote unachoona chenye nembo ya njano.?
Au inawezekna hiyo antivirus yako kimakosa kuna file la .dll or .inf linahousiana na driver za UBS inalibblock kimakosa ikihisi ni threat. So cheki status au rekebisha hiyo antivirus ilitambue hilo file. Unaweza kujaribu kuweka OFF antivirus yako kwa dk chache uone kama itandelea kugoma kutambua USB.
Ukiweka Off antivirus USB ikafanya kazi basi itabidi ujaribu kurekbisha setting za antivirus.