masanzu JF-Expert Member Joined May 6, 2013 Posts 605 Reaction score 219 Sep 20, 2014 #1 Ni simu ipi kati ya android na window phone inafaa zaidi kwa matumizi au nini tofauti ya hizi simu mbili ktk matumizi
Ni simu ipi kati ya android na window phone inafaa zaidi kwa matumizi au nini tofauti ya hizi simu mbili ktk matumizi
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Sep 20, 2014 #2 Yaani hapa ni kama umepambanisha kati ya android fans na windows phone fans, subiri utaona mwenyewe
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,450 Reaction score 2,683 Sep 21, 2014 #3 Kiukweli ujihisi umeridhika na haupitwi na wakati katika mazingira yetu ya kiafrica mashariki bora uchukue Android
Kiukweli ujihisi umeridhika na haupitwi na wakati katika mazingira yetu ya kiafrica mashariki bora uchukue Android
VAN HEIST JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 1,434 Reaction score 617 Sep 21, 2014 #4 tumia android,, windows phone itakusumbua kibongobongo inahtaji umakini haswa unaweza ukajikuta una format madude daily na km unataka android safi tafuta kitkat au jellybean hz ni nzur kuliko hta windows 8.1 kwa matumiz...
tumia android,, windows phone itakusumbua kibongobongo inahtaji umakini haswa unaweza ukajikuta una format madude daily na km unataka android safi tafuta kitkat au jellybean hz ni nzur kuliko hta windows 8.1 kwa matumiz...
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Sep 21, 2014 #5 android haijaniangusha hadi sasa huu ni mwaka wa tatu tangu nitoke kwa nokia tochi.sijafikiria kuhama na hata nikihama siwezi kununua window phone
android haijaniangusha hadi sasa huu ni mwaka wa tatu tangu nitoke kwa nokia tochi.sijafikiria kuhama na hata nikihama siwezi kununua window phone