thnx swri gal bt nliwaulza kama naweza kuendelea wit tht account afta ma studies na walisema t gonna b k! Wat i wonder is tht were they not sure wit their decisioun? Im xo skeptical jus help me swiri gal!student account for the case of nb nijuavyo si permanent account na ukifikia umri flani huwezi kuendelea kuitumia.unachotakiwa kufanya ni kuuliza kwa sahihi nini kimefanyika mpaka huwezi access act yako.pole na nachokushauri hata baada ya kupata suluhu ya hiyo issue fungua acc nyingine ili upate huduma inayokufaa .Nakutakia kila la heri na utakapo msaada wowote wa kibenki kuhusu nbc nipm i might be of help to yyou.karibu
kwa sasa nshafika kazn xo ntaenda kuwachk nbc hapa nilipo then ntatoa feedback guys! Thnx 4 ua helpful contributions! B blessed!mbona hata mimi natumia hiyo hiyo? Sema sasa hivi wana hivyo viprogram vya kukusanya data na kubadili atm card za zamani na kutoa master card. Hivyo wanaziblock hizo card ili ukienda wakubadilishie ama ujaze hizo 4m za info. Hao jamaa walistahili wakupe 4m ujaze wazitume kwenye branch yako.
thnx angel nylon...4 nau nshatoka pale nlipoenda kutoa hela xo kesho ntaenda kucheki tena and i wil let u knw tht! Ubarikiwe xana mpendwa!Hellow Vmark, sory kwa kuchelewa.
Kwa maelezo yako kuwa umeenda kwenye Atm na imesema 'Account status' inamaanisha either account yako imefungwa, yaani closed, au dormant au blocked.
Nakushauri rudi tn hapo tawini ulipokwenda then angalia km wameweka posters za customer care phone numbers ili uongee na headoffice customer care moja kwa moja.
Naimani problem yako itakua solved.
Nafkiri inawezekana mmekosana kufahamiana na hapo cust care.
Pole sn.