Msaada wakuu

dos.2020

Platinum Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
14,880
Reaction score
12,635
Nasumbuliwa na maumivu ya kichwa karibu mwezi wa pili, Maumivu hayo yanakwenda sambamba na maumivu yashingo pamoja na masikio kwa mbali muda mwengine.

Nimejaribu kwenda kituo cha afya cha karibu yangu, walinicheki damu, shinikizo la damu na mkojo nikaambiwa mote nipo sawa wakaishia kunipa dawa za maumivu tu, Lakini tatizo linaendelea.
 
Pole sanaa mkuu, Jitahidi kama utamudu gharama ukapimwe kwa CT scan au MRI, gharama nadhan sio chini ya laki mbili
 
Pima tena mkojo hasa wa asubuhi kabla ya kula chochote maana UTI wa siku hizi hawagunduliki haraka
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…