N ngakotecture JF-Expert Member Joined Dec 30, 2014 Posts 2,861 Reaction score 3,237 Jun 28, 2017 #1 Wakuu habari za mchana samahani kwa kuwasumbua ni hivi katika pilikapilika za eid mosi mnamo jumatatu nimeangusha simu yangu samsung galaxy s6edge plus.Nataka nijue je kuna uwezekano wa kuipata manake hata sijui sina hata miezi sita tangu ninunue.
Wakuu habari za mchana samahani kwa kuwasumbua ni hivi katika pilikapilika za eid mosi mnamo jumatatu nimeangusha simu yangu samsung galaxy s6edge plus.Nataka nijue je kuna uwezekano wa kuipata manake hata sijui sina hata miezi sita tangu ninunue.
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Jun 28, 2017 #2 Subiri wataalam waje.