Blandina Vedastus
Member
- Dec 22, 2020
- 26
- 21
Sawa ndgHao wanaosema njoo pm kua makini nao, ni mabazazi...
Anyways njoo pm
Mimi ni binti niliyehitimu masomo ya uandishi habari na mawasiliano kwa uma, ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja,, msaada naweza kufanya kazi yoyote halali yenye maslahi lengo kujikimu kimaisha , poleni na majukumu wakubwa!
Kwani wakati unasoma hukuwahi kuwaza kujiajiri, na ulipenda kufanya biashara au kujiajiri kwenye jambo lipi?Mimi ni binti niliyehitimu masomo ya uandishi habari na mawasiliano kwa uma, ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja,, msaada naweza kufanya kazi yoyote halali yenye maslahi lengo kujikimu kimaisha , poleni na majukumu wakubwa!
Uko mkoa gnMimi ni binti niliyehitimu masomo ya uandishi habari na mawasiliano kwa uma, ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja,, msaada naweza kufanya kazi yoyote halali yenye maslahi lengo kujikimu kimaisha , poleni na majukumu wakubwa!
ShinyangaUko mkoa gn
Nimejiajiri pia sijakaa tuu kizembe, lakini nj vizur kufanya kaz ya taaluma yangu maan ndy ndoto yangKwani wakati unasoma hukuwahi kuwaza kujiajiri, na ulipenda kufanya biashara au kujiajiri kwenye jambo lipi?
Kweli aisee, ndy kilichopookwa ushauri tu usikomae kutafuta kazi ya uandishi wa habari tu,
tafuta kazi yoyote ya halali mambo mengine utajulia mbele ya safari.
Biashara gani unaweza kufanya au wazo la kufanya biashara?Mimi ni binti niliyehitimu masomo ya uandishi habari na mawasiliano kwa uma, ninauzoefu na kazi kwa mwaka mmoja,, msaada naweza kufanya kazi yoyote halali yenye maslahi lengo kujikimu kimaisha , poleni na majukumu wakubwa!
hahahaha eti MabazaziππππHao wanaosema njoo pm kua makini nao, ni mabazazi...
Anyways njoo pm
Kila la kheriNimejiajiri pia sijakaa tuu kizembe, lakini nj vizur kufanya kaz ya taaluma yangu maan ndy ndoto yang