Modem yangu inakataa kuconnect net nijaribu njia zote nimeshindwa inaniambia kuna software inazuia kwenye my laptop bt kwenye laptop nyingine inapiga mzigo kama kawaida'wakuu kama mtu anaweza naomba anichakachuliwe nimejaribu na dc locker imeshindika nitashukuru atayetaka kunichakachulia nitakutumia vitu vyote pm
tatizo sio kuchakachua hapo. kuna settings fulani zinakosekana tu. sasa kwa nini kwenye komputa nyengine ikubali?
jaribu kuangalia settings za antivirus , au firewall za computer yako na kadhalik,,,,,,,,,,,,,,,,