Wadau nipeni ushauri nilipata vyuo viwili udom na mzumbe na mimi ni mtumishi wa serikali idara ya elimu nili confirm vyote bahati nzuri mzumbe wamewahi kunitumia joining kabla ya udom. Na barua zangu za kwenda kusoma niliomba kwa kutumia kozi ya mambo ya elimu nimepitishiwa barua zangu ila lengo ni kwenda mzumbe ambako wamewahi kunitumia joining naweza kwenda kisha nikamjulisha muajiri kuwa nilihamia mzumbe na kozi ni tofauti na niliyoombea ruhusa?