Jamani wana Jf naombeni mnisaidie,
nahitaji kununua computer leo lakini sijajua nianzie wapi?
au ninunue computer gani?
hivyo basi naombeni mnisaidie wataaalamu ninunue ipi?
na ni vitu gani vya kuzingatia vya umuhimu vya kuangalia.
nna Tsh 650,000wakuu!!!
RAM,PROCESSOR,NA KAMA MAHITAJI YAKO NI KUTUNZA VITU VINGI ZINGATIA HARD DISCK kwa computer zilizo sokoni ni Apple,Dell,Summsung,na Hp kaka h4zo ndo muhimu Apple bei ndo mpango mzima na ndo classic ikifuatiwa na Sammsung