msaada wako unahitajika(programing)

araway

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Posts
534
Reaction score
147
wakuu nilijaribu kusoma pascal programing miaka ya nyuma, sikuweza kuendelea nayo na kwa bahati mbaya ninamdogo wangu kafuata mkondo huo katika pitiapitia kakutana na nondo zangu za pascal programing lakini kwa kweli sikumbuki kitu. kaniomba nimsaidie assignmet yake ya mambo ya programing lakini imenishinda naomba msaada waungwana niweze kumsaidia.

assigment yenyewe inasema hivi
create a program which allows a user to perform either of two operatons in looping to culculate the are of the circle

tumia - DO WHILE Loop, na REPEAT UNTIL Loop

hapa anataka flowchart na pseudo-code zake

nategemea mssaada kutoka kwenu wakuu
 
Duh hii imeshakuwa noma..yaani mnatumia hadi JF kudetha? teh teh teh..

Kaazi kwelikweli.
 
This is a sketchy pseudocode mazee ipe nyama

1. Start
2. do while counter is less than final_counter
2.1 enter the radius of the circle
2.2 area=pi*r*r
2.3 output area
2.4 increase counter by 1
3. stop
 
This is a sketchy pseudocode mazee ipe nyama

1. Start
2. do while counter is less than final_counter
2.1 enter the radius of the circle
2.2 area=pi*r*r
2.3 output area
2.4 increase counter by 1
3. stop


nashukuru sana mkuu nitakujulisha alichopata!
 
program kudetha_jf;
var
Counter: integer;
radius,area:real;
begin
Counter := 5;

repeat
read(radius);
area=3.14*radius*radius;
Dec(Counter);
WriteLn(area)
until Counter = 0;
end.
 
Duh..hiyo ni sketchy tu mazee inabidi aifyatue vizuri..itokee kikamili. au degree haitaki?


mkuu hapo ashindwe mwenyewe! nishajivua lawama!ahsante sana mkuu
 
...
araway
kidogo napata utata na swali - hivi bado pascal inafunzwa chuoni?
kimsingi nilitegemea program name na declaration ya items .... hii nadhani ni kwa enzi hizo za fotrun, cobol na pascal na baadae kupata turbo version ya hizo program kwa portable computer (siyo pc) na za awali kwa main frame - vm.
Hiyo anayotumia inaitwaje?
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…