unless una access ya server unaweza kuchange hizo setting cause kwa kawaida setting za namna hiyo zinafungwa kwenye server ili network user wote watumie data configuration fromn server, after all ukichange kwenye server itajulikana tu coz utakuwa kila mtu atapata hiyo access na hao waluiofunga watashtukia ishu...so if you are ready...GO TO YOUR SERVER ROOM..AND USE THAT PSSWRD TO LOGING...!!Asee wakuu ma it wa kampuni yetu wamerestrict jamii na facebook sasa mimi nimefanikiwa kuiiba admini password kabla ilikuwa hata kudown load wamezuia nilipoipata hii nikilog in kuitumia nadownload sasa nataka niunge facebook na jamii..nipeni maujanja ?