Kua na tahadhari mbele kuna wanawake wanasutana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibao kinamaanisha hilo eneo kuna Bubu, kiziwi, kiwete na kipofu.
Kwa kifupi uwe na tahadhari hio sehemu kuna walemavu wanaovuka barabara.