Unajua maana ya fuculty??????
Ebu cheki hz alaf ulinganishe na ya kwako; Fuculty of engineering, fuculty of social science, ...... hyo unayosema ni course but not fuculty so jaribu kufuatilia kwanza kitu kabla ya kuandka au kusema itakusaidia saaana... and about your Qn subr wadau waje kukupa informations ila mm huko sipo fresh sanasasan ntakudanganya tu