mchambuzixx JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,292 Reaction score 946 May 21, 2013 #1 laptop yangu LATITUDE E5510 nikichomeka cable ya ethernet LAN inablink vizuri lakini haiditect na hata ukiangalia kwenye network unakuta haipo lakini inablink... sasa sijajua tatizo nini msaada wadau
laptop yangu LATITUDE E5510 nikichomeka cable ya ethernet LAN inablink vizuri lakini haiditect na hata ukiangalia kwenye network unakuta haipo lakini inablink... sasa sijajua tatizo nini msaada wadau