J John Allex Member Joined Oct 12, 2015 Posts 10 Reaction score 2 Oct 27, 2015 #1 Mimi nimehitimu kidato cha nne 2011 nna ufaulu wa masomo ya sayansi kasoro chemistry nmefeli .,je naweza kupata chuo cha serikali cha pharmacy nkasomee ngazi ya cheti....tafadhali mwenye uelewa na hili anijuze ..
Mimi nimehitimu kidato cha nne 2011 nna ufaulu wa masomo ya sayansi kasoro chemistry nmefeli .,je naweza kupata chuo cha serikali cha pharmacy nkasomee ngazi ya cheti....tafadhali mwenye uelewa na hili anijuze ..