medrickrobert
Member
- Apr 25, 2017
- 58
- 9
hivi hili tatizo linatokana na nini mkuu na solution yake nini ili ikubali program zote maana mwanzo ilikuwa inakubali freshDownload latest program kupitia internet kama una moderm then install.
thax mkuu wacha nijaribu hilo zoeziUlipotoa window ukaweka mpya uliformat disk zote au ile ya window tu? yan disk c by default.kama kuna disk ingine ilibak inavitu inawekekana kukawa na virus mbaya ana repilicate anakula mafile...tafuta antivirus aina ya kasperky uweke af uskan computer nzima.
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app