Msaada wa window nzur

Mirajr93

Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
66
Reaction score
56
Habar zenu wanajf.
Naomben msaada wa ipi window nzur kwa dell 5050 inspiron
 
Naona hujanielewa
so
itabd urud nyuma kdogo hadi window xp
no way out
 
mashine kali hiyo.....win 7 au 8 zote znaweza kukaa
 
kama inaingia window 8 basi wewe weka tu window 8 usijisumbue.
 
Windows 8 ni mwisho wa matatizo lkn kama haujui kutumia computer vizuri itakusumbua
 
Asanten sana wanaJF kwa mawazo yenu na nitayafanyia kazi
 
Sio mgeni sana ila inakataa kusoma game la GTA

Huenda set up za game lako ndiyo kimeo au hujaweka VGA drivers kwa pc au Spec haziruhusu kucheza hilo game Maana Dogo hapa anasugua GTA sanadreas GTA IV etc kwa hiyo hiyo windows 7.
Kwan hilo game linakataa kivipi au tuseme unapata msg gani?
 
Grand theft auto VC cannot find enough available video memory
 
Mirajr93 tafuta humu Driver genius then fuata naelekezo utaweza kuupgrade driver zako au tafuta Cobra.
Pia upgrade direct X hilo GAME litacheza Fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…