Msaada wa web ama app ya kudownload series

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,595
Wakuu habarini za kazi, na maisha?
Naomba kujuzwa website ama app ambayo naweza pata series ana latest movies

Sites nyingi ukitaka kudonload series zinakua na mb nyingi sana

Pia kama naweza kujuzwa downloader ambayo ina speed zaidi ntafurahi,

Nawasilisha, Aksante.
 
Una expect movie iwe na mb ngapi na series iwe na mb ngapi?
 
Kama unataka kitu kizuri, kipo clear lazima mb ziwe za kutosha
 
Una expect movie iwe na mb ngapi na series iwe na mb ngapi?
Kwa series walau isizidi mb 250, mb 200, na kwa movies sio issue sana nyingi huwa zenye quality nzuri nikuanzia mb 700+ nakuendelea
 
Nimejaribu kulidownload hapa linafunguka vizuri tu.

Umejaribu kutumia file manager na kwenda downloads kisha ukalifungulia kwa huko?
Hii si ni kwa matumizi ya simu au? Maana mimi nimejaribu kuinstall kwenye simu
 
Search kwenye google o2tv series utazikuta za kushato ni wewe tu na mb zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…