Msaada wa vyuo

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Kwanza kabisa kabla sijaendelea na penda kusema asante kwa wale wote walio ni sahau mimi ni yule mwanafunzi niliyepata 1 ya 7 na nikakosa chuo hadi hawamu ya 3 ndipo nikaja hapa kuomba ushauli na nina shukuru mungu nika apply chuo cha KCMC na mungu akanisaidia asante sana ndugu zangu na bila kumsahau dada yangu EVLINA kwa ushauli. Leo nimekuja na tatizo lingine la rafiki yangu ingawa niliwahi kuweka machapisho kadha lakini siku pata maoni mazuri sana ingawa nina washukuru ila nina rudi tena. Rafiki yangu tulisoma wote PCB ingawa yeye matokeo yake haya kuwa mazuri sana na alikosa awamu zote 4 alipata 2 ya 12 na matokeo yake yalikuwa CHEM C BIOLOGY C NA PHYSICS S. Baada ya kukosa hawamu zote 4 mpaka leo yupo bado nyumba kwa kusubilia hawamu nyingine ila hapa kati kati tulipata wazo la kujalibu kuangalia Uganda. Yeye shida yake kusoma course ya medical doctor au phamacy hasa hasa katika chuo cha makerere. Tatizo tulikuanalo mpaka kuja hapa kuomba msaada. Tulitaka kuuliza je kwa hayo matokeo anaweza pata chuo uganda na kwenda kusoma hizo course???. Tunazo namba za chuo cha makerere na email zao lakini tukipiga namba zao hawapokei na hata email hawajibu tumeangaika sana lakini tunakosa haya majibu. Sisi shida yetu kujua tu kwa anajua system ya elimu ya uganda au hata kwa anayesoma katika vyuo vya uganda kama yeye mwenyewe au ndugu yake naomba atusaidie kwa hili. Sisia shida yetu ni mmoja tu kujua kama anasifa za kusoma katika vyuo vya uganda na hizo course anazo zitaka. Asanteni sana ndugu zangu na nina imani mtatusaidi sisi wadogo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi pesa.

Kwa sasa ufahulu huo unahitaji conection ya pesa tuu.

But sifa za kusoma anazo.

Inatakiwa mzazi M 9 kwa mwaka hazimsumbui,

Bila hivo bora kuachana na mambo ya medicine tu na kutafuta ustarabu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufaulu huo kupata MD itakuwa changamoto kubwa, aendelee kujaribu Pharmacy hata kwa vyuo vya private hapa Tz anaweza kupata.
 
Ukweli mtupu au kama anataka akasome diploma ya utabibu au diploma ya madawa basi iyo ndo njia rahisi ila kama anataka shahada ya udkatari au shahada ya Madawa aaaah kama hana pesa mkuu asahau izo kozi......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna chuo uganda kina fka 9M??? Me shida yangu ni mmoja tu kujua kama anasifa huko uganda maana tusije tukaaenda kutafuta vyuo wakat hata sifa hana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Tanzania kwa sasa ni shida kupata labla magu awe hayupo ndio maana tukaamua kwenda huku uganda ila tatzo tu hatujui system yao na yetu course tuliangalia sifa zao wao wansema uwe umefaulu BIOLOGY na CHEMISTRY sasa hatujui kwa ufaulu upi
Kwa ufaulu huo kupata MD itakuwa changamoto kubwa, aendelee kujaribu Pharmacy hata kwa vyuo vya private hapa Tz anaweza kupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo one ya 7 sisi inatuhusu nn au unatafuta kiki mm nlidhani ndiyo ya huyo unaemtafutia msaada.
 
Tatizo si ufaulu wako, unaweza kuwa umefaulu lakini wenzako wamefaulu zaidi yako, kwahiyo itakapofika kwenye kuchaguliwa watachaguliwa waliofaulu zaidi yako. Hata kwa vigezo vya TCU ukipata hizo C umefaulu lakini hautochaguliwa kwasababu nafasi ni chache na wenzako wamefanya vizuri zaidi, kwahiyo hapo utakosa nafasi.
 
Na kingine mkuu, kwa huo uandishi wako hapo juu unaidhalilisha hiyo One ya 7 unayoisema.
 
Kuna chuo uganda kina fka 9M??? Me shida yangu ni mmoja tu kujua kama anasifa huko uganda maana tusije tukaaenda kutafuta vyuo wakat hata sifa hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo juu ndio majibu,
Kafaulu ndio lakin ufaulu wa chini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu watu naona wanakua na shida kweli lakin, hata ambao wanawapa ushahur ku like alicho kwambia unaona kazi, unaamua kuendelea kumtwanga maswali utafikir wew boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo juu ndio majibu,
Kafaulu ndio lakin ufaulu wa chini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua ndio ndio maana tukaona tujarbu bahati yetu huko uganda tatzo hatujui system ya huko ndio maana tukaja hapa kuwaomba wanajua ili watusaidie maana hata ww ndugu unajua maisha n popote siyo lazma wote tutoke na syle mmoja samahan lakn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaah, sifa kweli anazo hata uganga wanamchukua, kafaulu

Coz pia uganda tuna wazidi kiwango cha elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…