msaada wa vpn kwenye linux

Bingley

Senior Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
103
Reaction score
9
habari za siku wana JF?
Nilijaribu kufunga ubuntu kwenye computer yangu ila nikaja kuitoa kwa sababu ina a bit of complications kwenye kuinstall progs(ina commands nyingi)
sasa nikaijaribu hii zorin os ambayo nayo ni jamii ya linux lakini ni rahisi kidogo kuitumia(baadhi ya watu wali-recommend humu ndani)

inapiga kazi fresh ila nilikuwa nataka niweke hizi vpn kama pd-proxy na 'Guru kwa ajili ya yale madude yetu ;-) nimejaribu kuinstall kwa playonlinux na wine zote zimekataa.
Je, kuna namna ya kuweza kuzifanya hizo vpn 2 kufanya kazi kwenye linux ama kuna alternative vpn nyingine ambayo inapiga kazi kama hizi mbili kwenye yale mambo ya "...internet"? -najua vpn zitakuwepo ila (labda) haziwezi kufungua ile milango ya 'uhuru', kwa hiyo nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua vpn zikakazofanya kazi kama hizi mbili?
**Nashukuru kwa kuweza kusoma haya maelezo marefu na naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua solution, asanteni!
 
This is from FAQ ya VPN PdProxy
"What Operating Systems do you support?
We currently only support Windows Operating Systems"


Sijui kwa VPN nyingine
 
This is from FAQ ya VPN PdProxy
"What Operating Systems do you support?
We currently only support Windows Operating Systems"


Sijui kwa VPN nyingine

asante mkuu, niliona hiyo kuwa inasupport windows tu ila nikajua kuwa ukitumia wine ama playonlinux kuiinstal itakubali, maana hizo ndizo software zinazowezesha vitu vya window kufanya kazi kwenye any linux. Lakini haikukubali
 
kaka tumia feat vpn ni client kama open vpn na inarun configuration za open vpn.

my self sjafanya ila watu wanaclaim unaweza kuirun kwa kutumia android ndk ukairun.

naitumia feat vpn kwenye android. ni nzuri sana kuliko client yoyote ile
 
kaka tumia feat vpn ni client kama open vpn na inarun configuration za open vpn.

my self sjafanya ila watu wanaclaim unaweza kuirun kwa kutumia android ndk ukairun.

naitumia feat vpn kwenye android. ni nzuri sana kuliko client yoyote ile

yaani chief ulivyoniambia kuhusu hii feat vpn, nikaitest kwenye android yangu. Lakini sijaweza kui-configure bado. Alafu hiyo android ndk ni kama emulator flani(kama bluestacks) ambayo inafanya vitu vya android vi-run kwenye linux?
Coz nimejaribu kuigoogle naona wanasema ni kwa ajili ya madevelopers na mavitu yao ya c++.
Nashukuru kwa msaada wako!
 
asante, nimeijaribu hiyo ila wanataka ulipie voucher card mwanzoni tu ili wakutumie activation. Sasa unaweza ukalipia na isifanye kile nnachokitafuta, ila asante kwa msaada wako

Wanayo Trial hao jamaa we fanya registration afu download program yao huone
After alll wanayo 24Hrs money Back

Kama imeshindikana basi nenda hidemyass.com wanayo 30 Days money back guarantee

Kama upo serious huwezi shindwa kwa Hidemyass.com
 

Feat ni kama open vpn hawakupi wao service bali unadownload/kununua service kwa makampuni mengine halafu unaload zile config kwao.

Mwambie njunwa akupe config

Kuhusu ndk sjaitumia nimeona tu kwenye forum yao feat vpn jamaa wakielezea

Na hio
 
Wanayo Trial hao jamaa we fanya registration afu download program yao huone
After alll wanayo 24Hrs money Back

Kama imeshindikana basi nenda hidemyass.com wanayo 30 Days money back guarantee

Kama upo serious huwezi shindwa kwa Hidemyass.com

nashukuru mkuu lakini 30 days Money back ina maana ushalipia. Huwa niko a bit reluctant kulipia kitu kwa sababu tu naambiwa naweza kurudishiwa mkwanja. Huwa naona wanaweza kuzingua, japo sipo sure.
Ingekuwa unaitest kwanza for free then unalipia kwa kuona inapiga kazi, hapo sawa.
Ila nashukuru kwa msaada wako!
 

asante sana mkuu, umenipa idea nzuri. Ntaifanyia kazi! Nashukuru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…