MsamiKowalski
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 285
- 56
Siyo awamu hii.Safi sana. Nadhani wale wagonjwa waliokuwa wanalala chini inabidi walazwe kwenye hivyo vitanda na wapige picha watuoneshe maana hawachelewi kuvihamishia kwenye hospitali zao binafisi
Najua ukihoji 'juhudi' kama hizi utaonekana mbaya lakini ukweli ni kwamba mfumo uliopo ndio unawezesha mbunge asiye na msaada wowote kilipwa milioni 250 kama kiinua mgongo wa miaka mitano huku television na magazeti yote yakitanda picha za 'mtoa msaada' wa shilingi milioni tano!
Sasa hapo ni Muhimbili kwa vile rais alienda, na Nkasi je mbona hata syring na panadol hawana!? Ni vizuri kuuangali mfumo mzima badala ya kutarget pages za mbele za media.
Posho za wabunge zifutwe,, wao siwanajiita watetezi wa wananchi ??? basi tuanzie kwao kupunguza matumizi ili kuwasaidia wananchi wasilale chini na hospitali zetu zipate panadol na aspirin...
Posho za vkao vya bunge vfutwe coz n sehm ya kaz yao kwan wana kaz nyngn??
Kampuni ya Golden Fleet LTD na Golden Coach LTD Wakabidi magodoro 30 na vitanda 30 Muhimbili Leo.
Mkurugenzi mtendaji wa kampunu hizo Bw.Mohammed Raza Dewj (kulia) akimkabidhi Afisa uuguzi wa idara ya uuguzi na Ubora wa Taifa muhimbili Bi.Mariana Makanda(kushoto).
Ukiongeza vitanda lazima uongeze na majengo ya wodi za kuweka hivyo vitanda.
Safi sana. Nadhani wale wagonjwa waliokuwa wanalala chini inabidi walazwe kwenye hivyo vitanda na wapige picha watuoneshe maana hawachelewi kuvihamishia kwenye hospitali zao binafisi
kwani waliokuwa wamelala chini ..walikuwa wamelala nje ya wodi au ndani ya wodi
ila chini ya sakafu...? we wapi bana.