Ndio maana mimi kila siku naamini sana Microsoft Esential(MSE) kuliko antivirus zingine zote.Ukiwa na updated MSE na daily una-update windows yako vitu vidogo vidogo kama hivyo havitakusumbua akili.Kwanza Microsoft wanatuma security updates kila siku kwenye windows ambazo zinafanya kazi vizuri sana na MSE.
Hizi ndude wengine nyie mnaziita Commercial Antivirus kila siku wanatengenezwa virus wapya,na kama ilivyo kawaida,hakuna antivirus iliyo perfect 100% mtaendelea kuumia vichwa mpaka basi..
Asnte sana mkuuMkuu gonga hapa Download Removal Tool « UninstallVirus.com
Mkuu gonga hapa Download Removal Tool « UninstallVirus.com