Hivi inakuaje kwa Mkuu wa wilaya ambaye ni Askari (JWTZ) mwenye cheo cha Kanali, Mfano Mkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Ndagala H.M anapokutana na Askari anayemzidi cheo aidha Kamishna, Brigedia na wengineo., wote wamevaa sare zao za kazi na vyeo vyao mabegani, Je, nani anapashwa kumsalimia/salute mwingine?