Msaada wa tofauti za hizi course za laboratory..

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Habari wakuu..

Kuna course ya inapatikana vyuo vya afya inaitwa medical laboratory science na nyingine nimeikuta technical college inaitwa laboratory science technology...

Wakuu tofauti ya hizi course ni zipi wakuu msaada....
 
Kwa hiyo mtu anayesoma lab technical kwa technical college afanyi maabara...
Ww umeuliza utofauti umeambiwa
Medical lab huyo ni mtaalam wa afya means ni docta ispokuwa anakuwa special kutambua mgonjwa anaumwa ugonjwa gan bila huyo no medical

Huyo wa science and lab techn ni kama engr bt huyu ni special kwa vifaa tu vyovyote vya kisanyansa hasa vya kihandisi.anakuwa viwandani,ktk umeme na huwa wanafundisha practical either shule za technical or techn collage.

Huwa nyuzi zako ni za lab sanaa nmekufatilia so kama kusoma kasome medical lab hutojuta maisha.nmepitia huko
 
Asante .mkuu nimekupara Mungu akubariki
 
Habari wakuu naomba kuuliza course hii "BSc in environmental engineering" baada ya kwisha maliza kusoma unakuja deal na mambo gani
 
msaada Jana I mie nilihitimu olevel 2014 nilapta
phy B
chemia C
bios B
math D
eng B
vip nikiomba CO au medical labo nitachaguliwa ktk vyuo vya serikal PIA advance nimepata EEE ktk PCB
 
msaada Jana I mie nilihitimu olevel 2014 nilapta
phy B
chemia C
bios B
math D
eng B
vip nikiomba CO au medical labo nitachaguliwa ktk vyuo vya serikal PIA advance nimepata EEE ktk PCB
Kupata unaweza pata ila usichague vyuo vya serikali vyenye competition kubwa hasa vya mjini.....pia unaweza apply diploma ya ualimu kwa tokeo la six
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…