Msaada wa tiba ya fungus kwenye mfuko wa korodani

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
205
Habari zenu wana JF, poleni na majukumu.
mimi nasumbuliwa na tatizo la fungus kwenye mfuko wa korodani, kwa anaejua tiba naomba anisaidie.
 
JARIBU DAWA INAYOITWA SONADERM alafu usafi wa hali ya juu unahitajika.
 
Tumia powder inaitwa "candid powder"
Hii ni sahihi,niliwahi sikia Dr akisema kwamba kama unaishi maeneo ya joto, kama DSM na mengineyo,inashauriwa kutumia dawa yenye mfumo wa powder kutibu fungus hasa kwenye maeneo yaliojificha kama huko kwenye mfuko wa korodani, katikati ya vidole na maeneo mengine kama hayo.

Hii ni kwasababu, endapo utatumia dawa yenye mfumo wa cream katika maeneo hayo, na kwenye mazingira ya joto,kuna uwezekano wa kuongeza hali ya unyevu-unyevu katika maeneo yalioathirika, na hivo kupelekea kuchelewa kupata matokeo mazuri kwa haraka. Kwa sababu nadhani fangus wanastawi zaidi maeneo yenye unyevu-unyevu.
 
Habari zenu wana JF, poleni na majukumu.
mimi nasumbuliwa na tatizo la fungus kwenye mfuko wa korodani, kwa anaejua tiba naomba anisaidie.
Nenda pharmacy waambie wakupe Whitefield. Hiyo ni kiboko lazima waondoke woote
 
Kuna mdau humu alielezea vizur Sana sawa ya fangas ndan ya simu mbili unaona mabadiliko,nliwah kutumia ikanisaidia,chukua septrin za huku saga Na changanya Na mafuta ya mgando ya veseline ukishaoga jikaushe vizur then paka asubuh Na jion Ni sawa nzur Na Si ubabaishaji
 
Tuache uvivu wa kusoma,

Kuna uzi mmoja humu una hizo habari zote tena upo pinned,

Nenda kule kausome ule uzi mwanzo mwisho una post ka 1000+ ukiusoma vizuri ule niamin utawatibu vizuri sana hao fungus.

Kwa kukusaidia tu mimi kuna dawa niliipata kule na imenisaidia sana

Chukua vidonge kama 20 vya septrin visage mpaka viwe unga unga kabisa halafu changanya na mafuta mgando ya baby care

Baada ya hapo we paka ukimaliza kuoga asubuhi na jion.

Hii dawa ni nzuri sana mkuu itakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom