Hiyo fungus mumy, iwahi kabla haijaanza kukutafuna, Lakini pia ukishauriwa tiba Basi na Mr wako afanye wepesi wa tiba ya Mfumo wa uzazi ili msizungushiane Tena...
Nafikiri ni fungus kwenye ukeSamahani candidiasis ndo ugonjwa gan
Nafikiri ni fungus kwenye uke
Kama ww mwenyewe unaisikia Basi itakuwa Kali Sana kwa mwenzao wako...kimbia uende ukamuone daktari wa magonjwa ya wanawake! Preferably wa kike! Kama hakuna Basi atakayekuwepo! Ki la lililo kheri!Hapana sio harufu kali ipo kidgo tu sema me huwa sitoi harufu kbsa huku chini ila sahvi ndo naiskia japo sio kali sana
Kama ww mwenyewe unaisikia Basi itakuwa Kali Sana kwa mwenzao wako...kimbia uende ukamuone daktari wa magonjwa ya wanawake! Preferably wa kike! Kama hakuna Basi atakayekuwepo! Ki la lililo kheri!
Inaweza Kuwa 'yeast infection'!
Kuna wakati unahisi muwasho huko ikulu?Je, tatizo linaweza kuwa ni nini?
Tiba yake ndogo, tatizo hamjui kutengeneza vyenu mnataka walivyoteneneza wengineNililiacha Demu Fulani hivi kisa hiyo issue
Bado una kaushamba cha kolomije, hujakuaKwasisi mfumo dume ...nmeona aibu mim...mambo gan haya .uzi gani huu.ptuu
SahihiHiyo fungus mumy, iwahi kabla haijaanza kukutafuna, Lakini pia ukishauriwa tiba Basi na Mr wako afanye wepesi wa tiba ya Mfumo wa uzazi ili msizungushiane Tena...
Fungal infection hiyoSamahani candidiasis ndo ugonjwa gan
Bora umemfungukia huyo, akapenda vilivyoivaaaTiba yake ndogo, tatizo hamjui kutengeneza vyenu mnataka walivyoteneneza wengine
Kuna wakati unahisi muwasho huko ikulu?
Kama ndivyo...una fangasi wahi dawa
Hiyo tiba rahisi sana, utapewa vidonge vya kuingiza ikulu, usije kutumia ya kupaka inaweza kukuunguza ikiwa ngozi yako ni laini huko ikuluNdiyo nasikia panawasha
Hiyo tiba rahisi sana, utapewa vidonge vya kuingiza ikulu, usije kutumia ya kupaka inaweza kukuunguza ikiwa ngozi yako ni laini huko ikulu
Mkuu huenda ni fangasi muone doctor.Hapana yaan inakuwa kma mabonge bonge madogo alafu ni meupe na Yanatoa kaharufu