P plawala JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 625 Reaction score 61 May 4, 2011 #1 Habari wana jf naomba msaada wa namna ya KUREJESHA faili zilizoliwa na virusi kwenye flash disk,natashukuru kwa msaada kama upo maana nimepoteza document muhimu sana
Habari wana jf naomba msaada wa namna ya KUREJESHA faili zilizoliwa na virusi kwenye flash disk,natashukuru kwa msaada kama upo maana nimepoteza document muhimu sana
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,824 Reaction score 1,291 May 5, 2011 #2 hizo file ulisha wahi kuziweka kwenye computer? nafikiri ndo itakuwa rahisi kufanya data recovery
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,824 Reaction score 1,291 May 5, 2011 #3 Tembelea hapa, Recover Data from USB Flash Drive Download hiyo free Demo
P plawala JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 625 Reaction score 61 May 5, 2011 Thread starter #4 Bushbaby said: Tembelea hapa, Recover Data from USB Flash Drive Download hiyo free Demo Click to expand... Nashukuru,nimefungua hiyo page free domo lakini bado sijafanikiwa,nafanyia kazi
Bushbaby said: Tembelea hapa, Recover Data from USB Flash Drive Download hiyo free Demo Click to expand... Nashukuru,nimefungua hiyo page free domo lakini bado sijafanikiwa,nafanyia kazi