1. Mpangilio wa vyumba hauko vizuri. Inafaa zaidi master br kuwa upande wake na hivi vyumba vingine upande mwingine.
2. Ukitaka kutokea kwa nyuma lazima upite jikoni. Hii siyo sahihi
3. Sitting room haitakua na mwanga wala hewa ya kutosha
4.vyumba vyote viwe self contained ili kupunguza adha ya kuzunguka na taulo kwenye korido au kungojeana ili kutumia choo au kuoga
5.