Shukrani mkuu...Tafsiri ya ndoto yako ni kwamba mtindo wa maisha ulionao unaelekea kupata matatizo ya moyo na ikiendelea unaweza pata kiharusi, hii inaweza kuwa inasababishwa na
1: kutumia vilevi kama pombe na sigara
2: Kuwaza sana mambo ambayo hayana ufumbuzi
3: unene wa kupitiliza.
Ufumbuzi
1: kama unatumia kilevi chochote acha au punguza
2: Fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea, pia fanya mazoezi ya yoga na meditation
3: Angalia ulaji wako
4: Ishi kwa kufanya ibada
Kama tatizo uliloeleza ni ndoto ya mara moja tu basi sababu zitakua sio hizo nilizokutajia hapo juu, ila kama hua unaota ndoto zinazofanana na hizo mara kwa mara hiyo ni dalili ya matatizo ya moyo.
Tafsiri ya ndoto yako ni kwamba mtindo wa maisha ulionao unaelekea kupata matatizo ya moyo na ikiendelea unaweza pata kiharusi, hii inaweza kuwa inasababishwa na
1: kutumia vilevi kama pombe na sigara
2: Kuwaza sana mambo ambayo hayana ufumbuzi
3: unene wa kupitiliza.
Ufumbuzi
1: kama unatumia kilevi chochote acha au punguza
2: Fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea, pia fanya mazoezi ya yoga na meditation
3: Angalia ulaji wako
4: Ishi kwa kufanya ibada
Kama tatizo uliloeleza ni ndoto ya mara moja tu basi sababu zitakua sio hizo nilizokutajia hapo juu, ila kama hua unaota ndoto zinazofanana na hizo mara kwa mara hiyo ni dalili ya matatizo ya moyo.
Kuna mtu unaemjua anajifanya anakupenda ila anahusda na wewe na hataki ufanikiwe/uendelee na maisha yako pia yupo radhi hata kukufanyia ubaya akasimamisha hustle zako kwa namna ya kukupa ugonjwa au yoyote ile..au mapenzi yake yanaweza kukupa hatari ya gonjwa..
Kuhusu suala ya kuona mwili mzito au kama una palalize ni ni tatizo la dalili za sukari,kaangalie mapema na uweze kucontol sukari kwa ukaribu..
Pia jaribu kulala chumba chenye mazingira yenye hewa safi..usiwe unalala chumba kina joto kama store..fungua dirisha ukiwa unalala na jipe fresh airi..huo ukinga wa kuthorota afya ukiwa usingz wote utapotea.
Upo sahihi mpe muongozo...The law of subconcious mind.