NTEGEYE Jr JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 322 Reaction score 286 Sep 27, 2017 #1 Mdogo wangu ameomba nafasi katika vyuo Vikuu vya Dodoma, Mzumbe, Udsm na Mwalimu Nyerere. Lakini mpaka sasa sijasikia Taarifa zozote juu ya vyuo kutoa majina ya waliomba, ama mtandaoni au magazetini. Mwenye Taarifa yoyote anisaidie
Mdogo wangu ameomba nafasi katika vyuo Vikuu vya Dodoma, Mzumbe, Udsm na Mwalimu Nyerere. Lakini mpaka sasa sijasikia Taarifa zozote juu ya vyuo kutoa majina ya waliomba, ama mtandaoni au magazetini. Mwenye Taarifa yoyote anisaidie
Janma JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 423 Reaction score 408 Sep 27, 2017 #2 wanakuja so wait
azizi mohamedi Senior Member Joined Dec 28, 2015 Posts 101 Reaction score 36 Sep 28, 2017 #3 Majina 2 October
Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 569 Reaction score 927 Sep 28, 2017 #4 mbn nyuzi hizi zipo nyingi saan??