Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
Hiyo HDMI cable yako ukiunganisha nini kinatokea kwa screen? Na je una zelect vizur kwa rimoti?Wakuu naimani week end ipo vizuri
Ndugu yangu katoka Kenya kaniletea zawadi ya dvd player blueray, hii Dvd ina cable ya DHMI, Tv yangu ina support DHMI, Kila nikiunganisha DHMI Cable angalau nianze kutumia kama dvd player za kawaida nashindwa, tatizo nini au mpaka niwe na intanet? mana hii dvd ina port ya local internate haina Wifi, Wajuz naombeni msaada nakosea nini
nikiunganidha HDMI nikitumia remote ya TV kuselect upande wa HDMI inakubali then bac haifanyi lolote, inaishia hapo hapo, siwez hata kuitumia kama dvd ya kawaidaHiyo HDMI cable yako ukiunganisha nini kinatokea kwa screen? Na je una zelect vizur kwa rimoti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa ukisha select HDMI thn kama ni movie tumia hiyo hiyo remote ya Tv kwenye MEDIA batton kama ikonikiunganidha HDMI nikitumia remote ya TV kuselect upande wa HDMI inakubali then bac haifanyi lolote, inaishia hapo hapo, siwez hata kuitumia kama dvd ya kawaida
mkuu nazungumzia HDMI cable kuunganisha kwenye hdmi port ya tv na dvd portDHMI haipo kwenye vyote hivyo ulivyotaja, kuna HDMI!!, ukigundua tofauti zake utaweza connect
Sent using Jamii Forums mobile app
thanx nitajaribuUnatakiwa ukisha select HDMI thn kama ni movie tumia hiyo hiyo remote ya Tv kwenye MEDIA batton kama iko
Sent using Jamii Forums mobile app