Hata mimi nimeshindwa kuzielewa foresta za 2008 zinataka kufanana na RAV4 nahisi toleo zuri la foresta ni kuanzia 2003,04,05Sijui off road unamaanisha nini hasa, ila 3 series haifai kwenye hilo. Iko chini saana na suspension ni sporty. Kwenye Forester na X3, binafsi nitakwenda Forester, model ya kuanzia mwaka 2008. X3 ya kwanza haikuwa nzuri kuvile, ni kama jamaa walikuwa wanajifunzia hapo kuingia kwenye segment ya small SUVs. Ila Forester 2nd and 3rd gen ziko poa.
Ulaji wa mafuta, X3 iko vizuri, kama utachukua ya engine ndogo. Forester iko juu kidogo kwenye mafuta sababu ya AWD.
Kwenye off roading, the Forester is a clear winner hapo.
Acha uongo wewe jamaa,spare za subaru zipo nyingi na kuna maduka yapo special kwa ajili ya subaru tu nenda mtaa Livingstone kariakoo,mwenge,posta kote utapata spare zake.Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
Unajua Forester zina soko kubwa saana US. Sasa kule wanapenda gari za juu. Walikuwa wanalalamika saana kuwa hizi models before 2008 ni basically a wagon tu imeinuliwa. Sio SUV. Haina space ya kutosha. Ndio maana ikabidi waikuze kidogo.Hata mimi nimeshindwa kuzielewa foresta za 2008 zinataka kufanana na RAV4 nahisi toleo zuri la foresta ni kuanzia 2003,04,05View attachment 1052933View attachment 1052933
Sijui off road unamaanisha nini hasa, ila 3 series haifai kwenye hilo. Iko chini saana na suspension ni sporty. Kwenye Forester na X3, binafsi nitakwenda Forester, model ya kuanzia mwaka 2008. X3 ya kwanza haikuwa nzuri kuvile, ni kama jamaa walikuwa wanajifunzia hapo kuingia kwenye segment ya small SUVs. Ila Forester 2nd and 3rd gen ziko poa.
Ulaji wa mafuta, X3 iko vizuri, kama utachukua ya engine ndogo. Forester iko juu kidogo kwenye mafuta sababu ya AWD.
Kwenye off roading, the Forester is a clear winner hapo.
Okay. Nimezoea kuziita rough roads. Huko 3 series inakwenda. Japo inateseka saana. Off road mara nyingi wanamaanisha sehemu ambazo hazina barabara rasmi. Huko ni kwa kina 4x4.Off-road ... nimemaanisha pia natumia kwenye barabara za vumbi ..
Nimekusoma mkuuUnajua Forester zina soko kubwa saana US. Sasa kule wanapenda gari za juu. Walikuwa wanalalamika saana kuwa hizi models before 2008 ni basically a wagon tu imeinuliwa. Sio SUV. Haina space ya kutosha. Ndio maana ikabidi waikuze kidogo.
Huifahamu x3 2011 kuendelea sio gari ya kulinganisha na foresta labda Kama budget inasumbuaSijui off road unamaanisha nini hasa, ila 3 series haifai kwenye hilo. Iko chini saana na suspension ni sporty. Kwenye Forester na X3, binafsi nitakwenda Forester, model ya kuanzia mwaka 2008. X3 ya kwanza haikuwa nzuri kuvile, ni kama jamaa walikuwa wanajifunzia hapo kuingia kwenye segment ya small SUVs. Ila Forester 2nd and 3rd gen ziko poa.
Ulaji wa mafuta, X3 iko vizuri, kama utachukua ya engine ndogo. Forester iko juu kidogo kwenye mafuta sababu ya AWD.
Kwenye off roading, the Forester is a clear winner hapo.
Naifahamu mkuu. Ndio maana nikasema X3 ya kwanza haikuwa nzuri kivile. Maana najua models nyingine wamefanya maboresho. Japo ya kuanzia 2011 bei yake ni bora ununue Land Cruiser Prado tu.Huifahamu x3 2011 kuendelea sio gari ya kulinganisha na foresta labda Kama budget inasumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikaweka na models hapo... au haujaelewa kipengele cha 3 series, x3 na subaru forester?
Prado na X3 wapi na wapi?Naifahamu mkuu. Ndio maana nikasema X3 ya kwanza haikuwa nzuri kivile. Maana najua models nyingine wamefanya maboresho. Japo ya kuanzia 2011 bei yake ni bora ununue Land Cruiser Prado tu.
Jamaa kasema anataka gari inayoweza kwenda off road. Prado is a proper 4x4 kuliko X3 yoyote.