Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,284 Reaction score 39,513 Jul 22, 2019 #1 Jmani za asbh wana jf, naombeni msaada kwa yoyote ambae anaifahamu shule nzuri ya private ambayo inafaulisha vizuri pia. Ada yake isizid 2m nashule iwe tanga, moro, pwani na dodoma NB: Iwe ina hosteli
Jmani za asbh wana jf, naombeni msaada kwa yoyote ambae anaifahamu shule nzuri ya private ambayo inafaulisha vizuri pia. Ada yake isizid 2m nashule iwe tanga, moro, pwani na dodoma NB: Iwe ina hosteli