Msaada wa Screen ya philips inch 40

Itug

Senior Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
198
Reaction score
73
Mwanangu amevunja tv yangu ya inch 40 kwa kuipiga na remote! Na kwa bahati mbaya imevunjika screen kama inavyoonekana ktk picha hapa chini [emoji116]ninaomba msaada kama kuna mtu anayo au anamjua mtu mwenye tv ya namna hiyo ambayo haifanyi kazi ila screen yake ni nzima au anajua namna ya kunisaidia kupata screen anisaidie!
Tazama picha hapa![emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

TheBigBoss
 
Noted!

TheBigBoss
 
Ikiwa huna, usiseme hakuna mtu anayo! Sema sina!

TheBigBoss

Watanzania mnapenda kusikia yale yanayowafurahisha only ila mkiambiwa ukweli mnachukia. Acheni kuchukia chukia . Hiyo spare unayotafuta huwezi kupata
 
Nadhani itakuwa ghali sana, mfano tv yoyote zinazotumia mfumo wa umeme jua (sola) 14'' bei ya tv Wachina wanauza 145,000. Screen pekee 90,000. Tv 19'', 22'', 24'', 175,000/, 180,000/, 220,000/, Screen pekee 160,000 hadi 170,000.

Samsung 22'' bei yake 350,000/ Screen pekee 245,000. Hivyo bei ya screen pekee na ghali sana labda uende Zanzibar kule ninauhakika utapata lakini kama tv yako ya mtumba.
 
Watanzania mnapenda kusikia yale yanayowafurahisha only ila mkiambiwa ukweli mnachukia. Acheni kuchukia chukia . Hiyo spare unayotafuta huwezi kupata
Watz pia ni watu wa kukata tamaa bila kujaribu! Unasema hakuna na hujawahi kufikiri kutafuta! Ww unajuaje kuwa hakuna?'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…