Nina web-based mobile browser application, ambayo ningependa user awe anafanya malipo ya item anayonunua kwa kutumia M-PESA, Tigo PESA na Airtel Money.
Naomba msaada wa jinsi ya ku integrate na ku atomate hii payment process kwenye application yangu.
Scenario:
1. User anachagua kitu
2. User anachagua kulipia
3. User anaingiza M-PESA details (za kwake user mwenyewe & na za muuzaji)
4. User ana click Confirm kukamilisha malipo.
Sina big picture ya jinsi M-PESA inavyofanya kazi kwa user na hata back end system zao.
Shukrani