Habari wakuu.
Nina gari yangu imeanza kutetemeka injini na kuongeza matumizi ya mafuta na mlio wa kelele ya juu(muungurumo)
Nimepeleka kwa fundi akafungua spark plugs na kusema nibadilishe niweke mpya tatizo litakwisha.
Msaada kwa anayejua tatizo hilo