Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Apr 3, 2017 #1 habari yenu wana jamvi? naomba mwenye info ya kuhusu kozi zinazotolewa Udsm kwa njia ya mtandao je kila kitu hufanyika online kuanzia tests mpaka UE au kipindi cha mitihani humlazimu mwanafunzi aende physically kufanya mtihani ?
habari yenu wana jamvi? naomba mwenye info ya kuhusu kozi zinazotolewa Udsm kwa njia ya mtandao je kila kitu hufanyika online kuanzia tests mpaka UE au kipindi cha mitihani humlazimu mwanafunzi aende physically kufanya mtihani ?
baba bora JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,500 Reaction score 1,096 Apr 3, 2017 #2 Tusubiri waje nami nataka kujua