Salamu kwenu wakuu..
Nahitaji nyumba ya kupanga, yenye vyumba 2 na sebule.. Iwe maeneo ya kuanzia Philips hadi USA..
iwe na umeme na maji na si lazima iwe self ila choo kiwe safi, na isiwe mbali sana na barabara.
Sihitaji dalali ila atakae saidia kupatikana kwa nyumba hiyo asante nzuri itatolewa.
Naomba msaada wakuu na natanguliza shukrani.
Mawasiliano ni 0755925622