ni siku ya nne ninajalibu kununua bidhaa online kama applications mbalimbali..lakin hii kad hainiruhusu kumaliza malipo ..na mara nying huniletea messg kua nimekosea kuandila card namba.wakat nimekopi vizr..wakubwa hiz kad n kwer n master ama changa la macho..na kama n master..nifanye nin kutatua hil tatiz
kujazia hoja za wajumbe waliopita,kwa issue ya usalama hzo kadi wanazizuia kutumika moja kwa moja mpaka utembelee tawi la jiran wairuhusu kufanya manunuzi na kimsingi haizingui wakiiruhusu,au piga namba yao 0800112233